Kozi ya Radiolojia (DiagnosticRadiography) inahusisha mambo ya vipimo vya X-Rays na ultrasound
Hivi ni vipimo muhimu ambavyo hutumika kufahamu ugonjwa au kufahamu maendeleo yake.
Wataalamu wa radiolojia kimsingi wanapima kwa kuona picha ya sehemu husika.
Baadhi Ya vyuo Vinavyotoa Mafunzo Ya Kozi Ya Radiolojia (DiagnosticRadiography)
- Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS)
- Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)
- Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Dar es Salaam (DIT)
Sifa Za Kujiunga Na Kozi Ya Radiolojia (DiagnosticRadiography)
Walio hitimu na kua na Cheti cha Elimu ya Sekondari (CSEE) wenye ufaulu (Alama D) wa masomo matatu (3) yasiyo ya kidini ikiwemo Kemia, Biolojia na Fizikia/Sayansi ya Uhandisi.
Biology D
Chemistry D
Physics D
English D
Na ufaulu zadi ya huo
Leave a Comment