Ufamasia (Pharmaceutical Sciences) ni kozi inayohusisha wataalamu wanaotoa madawa hospitalini na pia taaluma hii inawawezesha kutengeneza dawa, kuchanganya dawa na kusimamia uhifadhi wa madawa.
Wafamasia ni wale wanaotupatia dawa hospitali unapoambiwa na daktari nenda kwenye dirisha la dawa au hata katika maduka ya dawa.
Baadhi y vyuo vinavyotoa kozi ya Ufamasia/Madawa (Pharmaceutical Sciences)
Muhimbili University of Health and Allied Sciences
St. John’s University of Tanzania
Njombe Health Training Institute
City College of Health and Allied Sciences
Sifa za Kujiunga na kozi ya Ufamasia/Madawa (Pharmaceutical Sciences)
Mwanafunzi anatakiwa awe na Cheti cha Elimu ya Sekondari (CSEE) na angalau alama nne (4) za kupita katika masomo yasiyo ya kidini ikiwa ni pamoja na Kemia, Baiolojia, na Fizikia/ Sayansi za Uhandisi.
Biology D
Chemistry D
Physics D
English D
Na ufaulu zadi ya huo Kama una Ufaulu katika Hisabati na Lugha ya Kiingereza unajiongezea nafasi zaidi.
Leave a Comment