Pakua Mwongozo wakufanya maombi vyuo vikuu wa mwaka wa masomo 2024/2025: Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) huandaa Mwongozo kwa wombaji wa Vyuo Vikuu Shahada ya Kwanza ili kuwaongoza waombaji/wanafunzi, wazazi/walezi na wafadhili kuhusu taratibu na vigezo vya udahili.
Kitabu cha Mwongozo kinakusudiwa zaidi kutoa habari kuhusu taasisi zinazotoa digrii/programu mbalimbali kwa kubainisha vigezo kulingana na kozi husika.
Leave a Comment