Kocha wa Yanga, Sead Ramovic anaondoka Yanga, atamalizia mchezo wake wa mwisho dhidi ya KenGold kisha atafunga virago vyake na kuondoka Jangwani. Mchezo utakaochezwa Uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge, Dar es Salaam.
Tetesi zinamhusisha na kujiunga na klabu ya CR Belouizdad yaAlgeri. CR Belouizdad ipo nafasi ya pili kwasasa katika ligi ya Algeria.
Leave a Comment