Simba SC wanahusishwa kutaka saini ya mchezaji huyo raia wa DR Congo. Tetesi zimeshika kasi baada ya kutoweka kwa mchezaji wao, Kibu Denis, anayedaiwa kutorokea nchini Norway, bila ruhusa ya Klabu ya Simba.
Ellie Mpanzu (22) ni raia wa DR Congo, ambaye kwasasa bado anamkataba na AS Vita Club.
Taarifa Binafsi za Mchezaji
Jina Kamili: Elie Mpanzu Kibisawala
Mwaka wa Kuzaliwa/Umri: Jan 1, 2002 (22)
Sehemu Alipozaliwa: Kinshasa DR Congo
Urefu: 1,65 m
Uraia: DR Congo
Nafasi: Attack – Right Winger
Timu yake kwa Sasa: AS Vita Club Kinshasa
Muda wa Kujiunga: Jul 1, 2022
Leave a Comment