Notice: Function _load_textdomain_just_in_time was called incorrectly. Translation loading for the post-views-counter domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /www/wwwroot/net.wazaelimu.com/wp-includes/functions.php on line 6131
TRA: Majina Walioitwa Kwenye Usaili wa Mahojiano na Vitendo - Waza Elimu

TRA: Majina Walioitwa Kwenye Usaili wa Mahojiano na Vitendo

Majina Walioitwa Kwenye Usaili wa Oral TRA 2025: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwataarifu wasailiwa wote waliofanya usaili wa kuandika tarehe 29 na  30 Machi, 2025 katika vituo tisa (9) vilivyokuwa vimeandaliwa hapa Nchini kwamba matokeo ya usaili huo yamekamilika na yanapatikana katika Tovuti ya Mamlaka.

Matokeo hayo yanaonesha namba ya mtihani na matokeo aliyopata msailiwa.

Mamlaka ya Mapato Tanzania inawashukuru wasailiwa wote kwa kuonesha nia ya kuitumikia Mamlaka na kuwatakia kila la kheri wote waliofaulu na kuchaguliwa kwenda katika hatua zinazofuata.

DOWNLOAD PDF HAPA

Leave a Comment