Notice: Function _load_textdomain_just_in_time was called incorrectly. Translation loading for the post-views-counter domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /www/wwwroot/net.wazaelimu.com/wp-includes/functions.php on line 6131
Vifaa vya Kwenda Navyo JKT Mujibu 2025 - Wakati wa Kuripoti

Vifaa vya Kwenda Navyo JKT Mujibu 2025 – Wakati wa Kuripoti

JKT linawataka vijana hao kuripoti wakiwa na vifaa vifuatavyo.

1. T-shirt ya rangi ya kijani.

2. Raba za michezo zenye rangi ya kijani au blue.

3. Shuka mbili za kulalia zenye rangi ya blue bahari.

4. Soksi ndefu za rangi nyeusi.

5. Nguo za kuzuia baridi kwa waliopangiwa mikoa yenye baridi.

6. Track suit ya rangi ya kijani au blue.

7. Nyaraka zote zinazohitajika katika Udahili wa Kujiunga na Elimu ya Juu, zikiwemo cheti vya Kuzaliwa, Vyeti vya Kuhitimu kidato cha Nne n.k

8. Nauli ya kwenda kuripoti makambini na kurudi nyumbani.

9. Bukta ya rangi ya ‘Dark Blue’ yenye mpira kiunoni (lastic), iliyo na mfuko mmoja nyuma, urefu unaoishia magotini, isiyo na zipu.

Download majina yote ya vijana na kambi walizopangiwa JKT PDF 2025

Leave a Comment