Viingilio Mechi ya Derby Yanga vs Simba 8 Machi 2025

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na klabu ya Yanga SC (mwenyeji wa mchezo) limeweka wazi viwango bei za tiketi kwa mashabiki wote wanaotaka kushuhudia pambano hili la kukata na shoka uwanja wa Benjameni Mkapa. Viingilio vimegawanywa kwa madaraja tofauti kama ifuatavyo:

MZUNGUKO: Tsh 5,000

ORANGE: Tsh 10,000

VIP C: Tsh 20,000

VIP B: Tsh 30,000

VIP A: Tsh 50,000

Leave a Comment