Bukta ya rangi ya ‘Dark Blue’ yenye mpira kiunoni, iliyo na mfuko mmoja nyuma, urefu unaoishia magotini, isiyo na zipu.
T-shirt ya rangi ya kijani
Raba za michezo zenye rangi ya kijani au blue.
Shuka za rangi ya blue bahari.
Soksi ndefu za rangi nyeusi.
Track suit ya rangi ya kijani au blue.
Hati muhimu zitakazotumika wakati wa Udahili wa Kujiunga na E limu ya Juu, zikiwemo cheti vya Kuzaliwa, Vyeti vya Kuhitimu kidato cha Nne
Fedha ya ziada.
Leave a Comment