Fahamu Majina Ya Wachezaji wapya Simba kwa msimu wa 2024/2025: Simba ni moja ya Klabu ambayo imeongeza wachezaji wapya wengi wa kimaitaifa kupitia dirisha hili la usajili 2024/2025.
Dirisha la usajili kwa Ligi Kuu soka Tanzania Bara, Ligi ya Championship, First League na Ligi Kuu ya Wanawake msimu wa mwaka 2024/25 lipo wazi tangu Juni 15-2024 na litafungwa Agosti 15-2024. Hivyo bado kuna nafasi ya Simba kuongeza au kupunguza wachezaji katika kikosi chake.
Orodha ya Wachezaji wapya wa Simba SC 2024/2025.
- Abdulrazack Mohamed Hamza kutoka Super Sport United.
- Valentino Mashaka kutoka Geita Gold FC.
- Augustine Okejepha Kutoka Rivers United.
- Debora Fernandes Mavambo Kutoka Mutondo Stars.
- Omary Omary Kutoka Mashujaa FC.
- Karaboue Chamou Kutoka Racing Club d’ Abidjan.
- Valentin Nouma kutoka St. Eloi Lupopo.
- Yusuph Kagoma kutoka Singida Black Stars FC.
- Kelvin Kijili kutoka Singida Fountain Gate
- Lameck Lawi kutoka Coastal Union.
- Joshua Mutale kutoka Power Dynamos.
- Steven Dese Mukwala kutoka Asante Kotoko.
- Jean Charles Ahoua kutoka Stella Club d’Adjamé.
- Awesu Awesu kutoka KMC
Leave a Comment