1. Aziz Ki
“Wachezaji wote wapo fiti kujiandaa na mchezo, mchezaji pekee ambaye nina wasiwasi nae ni Aziz Ki ambaye alipata shida ya mgongo. Siwezi kusema kama atakuwepo au hatakuwepo bado ni 50/50 nafikiri mpaka kesho nitakuwa na majibu sahihi. Miloud Hamdi (Kocha Mkuu wa Yanga).
2. Mousa Camara
Alipata majeraha katika mechi ya Simba SC vs Azam FC.
3. Che Malone
Alipata majeraha katika mechi ya Simba SC vs Azam FC pia.
Taarifa za Mchezo
Mchezo: YOUNG AFRICANS SC vs SIMBA SC
Muda: 08.03.2025 | 7:15PM
Uwanja: BENJAMIN MKAPA
Leave a Comment