Walioitwa Kazini Ajira za INEC Ubungo 2025

Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ni moja kati ya Halmshauri za Manispaa tano zilizoko katika jiji la Dar es salaam nchini Tanzania. Mtazamo wa Halmashauri ni kuwa na jamii ambayo imewezeshwa kuendana na maendeleo ya kijamii, kiuchumi na Miundo mbinu. Malengo ya jumla ni kutoa huduma bora kwa jamii  kwa kutumia rasilimali zilizoko kwa ufanisi, na kuwajengea uwezo , utawala bora na kuheshimu utawala wa sharia ambao utaboresha maisha ya jamii, Halmashauri inajipambanua kupitia uwajibikaji na utoaji huduma kwa watu.

Vyanzo vya Mapato vya Halmashauri  hutegemea sana ushuru na kodi mbalimbli, vyanzo vikubwa vya mapato ni pamoja na kodi za Mabango, ushuru wa huduma za jiji, leseni za Biashara na kwa upande wa serikali kuu ni kupitia ruzuku inayotolewa katika maeneo maalumu kama Afya, Elimu, na Miundombinu. Vyanzo vya mapato havitoshelezi kukidhi mahitaji ya Manispaa ya kutoa huduma nzuri na bora, Halmashauri  ya Manispaa imeweka nguvu kutoa huduma bora kwa umma na kutafuta fursa za uwekezaji.

DOWNLOAD PDF HAPA CHINI

ORODHA YA MAJINA WALIOPATA KAZI YA ZOEZI LA UANDIKISHAJI

Leave a Comment